Tusubiri vituko teuzi za maDC na maDED

Tusubiri vituko teuzi za maDC na maDED

Mkuu siasa ni jambo mtambuka. Hiv unajua kuwa mama samia kawa maarufu wakati wa bunge maalumu la katiba? hivi unajua kuwa Makonda alitamka ndani ya bunge hilo kuwa huyu mama anafaa kuwa VP na bunge likashangilia?
Kama si miongoni mwa "wanaopandisha mabega" basi sawa. Anafaa.
 
Mama kaahidi kuwa katika teuzi zake atateua wanawake na wanaume 50/50.
Suala sio wanawake au wanaume kuteuliwa. Suala ni hao wanawake anaolazimisha awateue wana uwezo?

Tumeshuhudia vituko vingi kutoka kwa wabunge wa viti maalum. Wengine wamepewa hadi unaibu Waziri ila hata kusoma majibu walioandikiwa hawawezi.

Mama Samia Suluhu Hassan zingatia uwezo wa mtu sio kuteua tu ili uonekane umeteua wanawake.

Kuwa makini hatutaki malaya na wadangaji katika teuzi zako.
Mkurugenzi
Anawakuu wa idara
Vitengo ni
Ana madiwani
Watumish nk
Uwezo upi unazungumzia hapa?
 
Shilole?? Jokate kama hakuwahi mtunishia msuli Mama kipindi cha boi furendi wake,atabaki! Kama alitunisha msuli kama bashite,ndo imekula kwake! Arudi kwenye urembo wake!
Shilole, jokate, flaviana matata hawa watu lazima wapewe baadhi ya wilaya kuendesha.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mama kaahidi kuwa katika teuzi zake atateua wanawake na wanaume 50/50.
Suala sio wanawake au wanaume kuteuliwa. Suala ni hao wanawake anaolazimisha awateue wana uwezo?

Tumeshuhudia vituko vingi kutoka kwa wabunge wa viti maalum. Wengine wamepewa hadi unaibu Waziri ila hata kusoma majibu walioandikiwa hawawezi.

Mama Samia Suluhu Hassan zingatia uwezo wa mtu sio kuteua tu ili uonekane umeteua wanawake.

Kuwa makini hatutaki malaya na wadangaji katika teuzi zako.
Nyie wasukuma Raisi hata ateue vip hamtoridhika hadi mungu wenu wa chato arudi labda,,,,, kafieni mbele uko,
 
Nyie wasukuma Raisi hata ateue vip hamtoridhika hadi mungu wenu wa chato arudi labda,,,,, kafieni mbele uko,
Mimi sio msukuma wala sio timu Magofool wa Chato. Nimetoa tu kaushauri kangu.
 
Kuna dada mmoja wa nyama choma anajitahidi sana kujipigia chapuo kijanja janja.
Asipoteuliwa sijui!!![emoji1745]
Yule aliyeenda kusalimia kwao majuzi? Yule ambaye kwao ni jirani na Wazirankende[emoji38]
 
Rebecca Gyumi atapata ukuu wa wilaya
Natabiri tu
 
Back
Top Bottom