Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Bahati nzuri wanaoteuliwa ni watanzania ambacho ndo kigezo kikuu. Mengine ni ziada
Labda pia afikirie kundi la Kanjibai pia wamesahaulika
Ni kwanini jamii ya wahindi imesahaulika kwenye teuzi za kisiasa?
Ni moja ya swali huwa linanijia kichwani kila siku. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimebahatika kuwa na hawa watu pamoja na nchi ya Kenya. Jamii ya wahindi wa Tanzania na Kenya, wana historia ndefu kwa hizi nchi. Na wengi mpaka babu zao wamezaliwa huku, ikimaanisha wana haki zote za uraia wao...