Tusubiri vituko teuzi za maDC na maDED

Tusubiri vituko teuzi za maDC na maDED

Bahati nzuri wanaoteuliwa ni watanzania ambacho ndo kigezo kikuu. Mengine ni ziada

Labda pia afikirie kundi la Kanjibai pia wamesahaulika

Mama kaahidi kuwa katika teuzi zake atateua wanawake na wanaume 50/50.
Suala sio wanawake au wanaume kuteuliwa. Suala ni hao wanawake anaolazimisha awateue wana uwezo?

Tumeshuhudia vituko vingi kutoka kwa wabunge wa viti maalum. Wengine wamepewa hadi unaibu Waziri ila hata kusoma majibu walioandikiwa hawawezi.

Mama Samia Suluhu Hassan zingatia uwezo wa mtu sio kuteua tu ili uonekane umeteua wanawake.

Kuwa makini hatutaki malaya na wadangaji katika teuzi zako.
Hapa kwetu vigezo huwa havizingatiwi sana:

Tuliwahi kuwa na kiongozi mkubwa kabisa ambaye alikuwa hajui hata lugha ya kufundishia masomo ambayo pia ndiyo offocial language ya kwanza ya Serikali.

Tuliwahi kuwa na kiongozi ambaye hakuwahi kujua kanuni za uchumi wa kisasa, hakujua katiba ya nchi yake wala matamko ya kimataifa ambayo nchi yake iliridhia.

Mbona Samia ni mwanamke na anaongoza nchi kwa weledi kuliko mwanaume mtangulizi wake?

Kwa reference ya mtawala aliyepita ukimlinganisha na Samia, ni aheri achague maDC na maDED wanawake watupu.
 
Wacha kum undermine mama,mwache ateue apendavyo,mwendazake alikua anachagua sana maprofeseri wameifanyia nini Tanzania??,Msukuma mpaka ana influence kushinda hata baadhi ya hao viongozi wanaoonekana wamesoma
 
Rebecca Gyumi atapata ukuu wa wilaya
Natabiri tu
Mama Samia asiwasahau Makonda na Sabaya. Kule magerezani kipindi hiki ndiyo huwa wanateuliwa nyapara wa wafungwa. Wasipowahishwa wataishia kusota kwa kazi ngumu.
 
Mimi Nashauri Rais wangu mpendwa, mama yangu MADED ateue kutoka miongoni mwa Watumishi wa Halmashauri, waliobobea huko na angalau kukaimu nafasi hiyo pale DED anaposafiri na likizo. Wanakuwa wazuri sana na wachapa Kazi bora sana.
MADC pia japo ni wanasiasa ateue angalau wenye degree moja. Sio hawa Makatibu na Wajumbe, wao huwaza CCM tu badala ya kufuatilia utendaji wa DED. Akiweza awateue kutoka Wilaya husika ili kufanya uwiano na kukwepa lawama.
 
Nani kakudanganya?? Unadhani zingekua zinaiva na bi mkubwa angeacha kumpa ulaji?? Mzee wa msoga unadhani alipenda kutajwa na Bashite kua anauza powder, hadi Rizmoko akahojiwa?? Msoga anampenda sana mwanae! Ni mara mia umuzingue msoga na sio mwanae
Kwani huu ni utawala wa msoga? Heeeeh kumbe inaendeshwa kwa remote kweli? Tobaaaah
 
Mama kaahidi kuwa katika teuzi zake atateua wanawake na wanaume 50/50.
Suala sio wanawake au wanaume kuteuliwa. Suala ni hao wanawake anaolazimisha awateue wana uwezo?

Tumeshuhudia vituko vingi kutoka kwa wabunge wa viti maalum. Wengine wamepewa hadi unaibu Waziri ila hata kusoma majibu walioandikiwa hawawezi.

Mama Samia Suluhu Hassan zingatia uwezo wa mtu sio kuteua tu ili uonekane umeteua wanawake.

Kuwa makini hatutaki malaya na wadangaji katika teuzi zako.
Maza hawezi kufanya huo ujinga hata dak 1
 
Nawatabiri wafuatao mmoja wao lazima atalamba dume

Single Mtambalike, Shilole, Monalisa au Mama yake Natsha Mamvi. Lazima safari wasanii wa bongo muvi watoe mkuu wa wilaya.

Ila kazi ipo ccm asili vs ccm makinikia. Jerry muro ajiandae kupumzika kurudi yanga.
 
Atateua watia nia wa ccm nafasi za ubunge either walishidwa kwenye kura za maoni au walipigwa chini..
 
Acha kila mtu apate as long as ni mtanzania haina noma.
Tanzania hii, kumbe bado sana.
Wakati tunafikiri tukimbie kwa speed kubwa kuelekea mafanikio kwa kuwa na viongozi wenye weledi, uelewa na uthubutu, wengine wanatamani "kila mtu apate" kwa kuwa tu eti in mtanzania. Basi itoshe kusema safari yetu bado sana.
 
Mama kaahidi kuwa katika teuzi zake atateua wanawake na wanaume 50/50.
Suala sio wanawake au wanaume kuteuliwa. Suala ni hao wanawake anaolazimisha awateue wana uwezo?

Tumeshuhudia vituko vingi kutoka kwa wabunge wa viti maalum. Wengine wamepewa hadi unaibu Waziri ila hata kusoma majibu walioandikiwa hawawezi.

Mama Samia Suluhu Hassan zingatia uwezo wa mtu sio kuteua tu ili uonekane umeteua wanawake.

Kuwa makini hatutaki malaya na wadangaji katika teuzi zako.
Yaani watu wengine sijui ubongo upo ugokoni au..
Unasema subiri vituko...na mfano eti viti maalum.
Kwanza kama ukauzu bungeni huyo spika, kibajaji, msukuma, na hao watoa pumba kila siku ni viti maalum ?
Haya huyo naibu waziri alishindwa kusoma majibu kwani aliteuliwa na Mama au Jiwe.. ?

Tulieni sindano iingie vzr
 
Usisahau yule futuhi kwenye wizara ya sindano jaman mbona wapo wanawake smart wengi tu kwel hawa watu wa vetting ndo wanatuletea haya mabalaa kweli??????
 
Back
Top Bottom