Tusubiri vituko teuzi za maDC na maDED

Tusubiri vituko teuzi za maDC na maDED

Shilole?? Jokate kama hakuwahi mtunishia msuli Mama kipindi cha boi furendi wake,atabaki! Kama alitunisha msuli kama bashite,ndo imekula kwake! Arudi kwenye urembo wake!
Kabla ya hapo anateua kwanza makatibu tawala ambapo kuna wakurungwa msiowataka watarudi..
 
#Jokate ameimudu sana kisarawe namuombea kwa mama ambakishe hapo hapo amepamudu sana na panaelekea kuwa pa kijanja kweli kweli.
 
Samia hakusema atateua 50/50 alisema atatoa nafasi zaidi kwa wanawake lakini ataangalia uwezo kwanza. Ni kama teuzi za mabalozi hazikuwa 50/50 lakini wanawake wameongezeka kidogo
Sawa mkuu
 
Kuwa makini hatutaki malaya na wadangaji katika teuzi zako

Acha matusi kwani WANAUME hakuna malaya!!! Rais mpaka sasa ameonesha mwelekeo wa kuteua watu wenye uwezo na heshima kwa wananchi na hivyo ndivyo wengi tunategemea atafanya kwenye kuteua MaDC na wakurugenzi kwani ni msikivu wa maoni ya wananchi!!
 
Acha matusi kwani WANAUME hakuna malaya!!! Rais Mpaka sasa ameonesha mwelekeo wa kuteua watu wenye uwezo na heshima kwa wananchi na hivyo ndivyo wengi tunategemea atafanya kwenye juteux MaDC na wakurugenzi kwani ni msikivu wa maoni ya wananchi!!
Poa. Subiri Shilolole apewe ukuu wa Wilaya ndio utakumbuka huu uzi.
 
Shilole?? Jokate kama hakuwahi mtunishia msuli Mama kipindi cha boi furendi wake,atabaki! Kama alitunisha msuli kama bashite,ndo imekula kwake! Arudi kwenye urembo wake!
Anaondoka JoJo😂maskin kaenda na mwendazake🏃🏃
 
Bora ateuliwe huyo Dada ili wakuu wa wilaya wote nchini wasije wakajiona special saana wilayani kwao... reference itakua "Kama shilole anafanya KAZI hii wewe ni Nani utishie watu na V8 ya serikali?".... Hahahaha.
Ha ha ha
 
Mama kaanza siasa 1977 Bashite kazaliwa 1982. Tuwe serious kidogo!
Mkuu siasa ni jambo mtambuka. Hiv unajua kuwa mama samia kawa maarufu wakati wa bunge maalumu la katiba? hivi unajua kuwa Makonda alitamka ndani ya bunge hilo kuwa huyu mama anafaa kuwa VP na bunge likashangilia?
 
hapo kwenye malaya na wadangaji, panahitaji umakini sana kiukweli..

Tuna tatizo kama Taifa, kuna wimbi la mabinti kuishi kwa kudanga na jamii kulazimishwa kuona kama issue ya kawaida...Hali hii imeanda mbali kwa kundi hili kuwadangia wanasiasa na matajiri wenye ushawishi na matokeo yake kupata teuzi bila kuangalia kichwani kwa mtu...Ubunge wa viti maalum na huu wa majimbo imekuwa janga sana baada ya kuvamiwa na hili kundi na mwisho wa siku kulifanya bunge sehemu ya mchezo mchezo....

Kiukweli Taifa bado lina uhaba wa watu serious kwenye mifumo, kama wapo wachache sana...Idara zetu nyeti ziangalie sana eneo hili la teuzi za kisiasa..... bado tuna watu wapumbavu kwenye mifumo ambao hawajali umuhimu wa competency na maadili kwenye mifumo baadala yake nao ni kundi lile...
 
Back
Top Bottom