Bahati nzuri wanaoteuliwa ni watanzania ambacho ndo kigezo kikuu. Mengine ni ziadaMama kaahidi kuwa katika teuzi zake atateua wanawake na wanaume 50/50.
Suala sio wanawake au wanaume kuteuliwa. Suala ni hao wanawake anaolazimisha awateue wana uwezo?
Tumeshuhudia vituko vingi kutoka kwa wabunge wa viti maalum. Wengine wamepewa hadi unaibu Waziri ila hata kusoma majibu walioandikiwa hawawezi.
Mama Samia Suluhu Hassan zingatia uwezo wa mtu sio kuteua tu ili uonekane umeteua wanawake.
Kuwa makini hatutaki malaya na wadangaji katika teuzi zako.
Acha kila mtu apate as long as ni mtanzania haina noma.Kuna dada mmoja wa nyama choma anajitahidi sana kujipigia chapuo kijanja janja.
Asipoteuliwa sijui!!![emoji1745]
Aisee..!Bahati nzuri wanaoteuliwa ni watanzania ambacho ndo kigezo kikuu. Mengine ni ziada
festival?Kuna dada mmoja wa nyama choma anajitahidi sana kujipigia chapuo kijanja janja.
Asipoteuliwa sijui!!![emoji1745]
Ma-DED tumbo joto. Walijazwaga Wasukuma Sasa zamu ya kinamama.Haha haha Sukuma Gang wanazidi kupigwa chini
Akipata kila mtu nani atamuongoza mwenzake?Acha kila mtu apate as long as ni mtanzania haina noma.
Natamani apate maana dada ni husler sanaKuna dada mmoja wa nyama choma anajitahidi sana kujipigia chapuo kijanja janja.
Asipoteuliwa sijui!!![emoji1745]
Hapana, sikubaliani na wewe...!! Utanzania ni kigezo na vile vile kujua kusoma na kuandika ni kigezo na kuna vingine havisemwi hadharani lakini chini ya kapeti hufuatwa.Bahati nzuri wanaoteuliwa ni watanzania ambacho ndo kigezo kikuu. Mengine ni ziada