Mfano wewe Ni jinsia ya kiume (Me) ukaenda kutoa pesa kwa wakala halafu jina lionekane mtoaji aliyetoa ni jinsia ya kike (KE)! Utaratibu wa Sasa hutakiwi kupewa pesa hiyo vinginevyo Ikitokea iwe Ni kwa huruma ya wakala!
Utaratibu kwa Sasa wenye majina yenye mashaka sahivi unapaswa kuonesha vitambulisho au kutoa maelezo polisi vinginevyo labda uende ukiwa umevaa wigi na dera ndo ukatoe!