Kwa mfano mm naitwa Amani inakuaje apo, maana kuna Amani wa kiume na wapo mademu wanaitwa Amani.?Mfano wewe Ni jinsia ya kiume (Me) ukaenda kutoa pesa kwa wakala halafu jina lionekane mtoaji aliyetoa ni jinsia ya kike (KE)! Utaratibu wa Sasa hutakiwi kupewa pesa hiyo vinginevyo Ikitokea iwe Ni kwa huruma ya wakala!
Utaratibu kwa Sasa wenye majina yenye mashaka sahivi unapaswa kuonesha vitambulisho au kutoa maelezo polisi vinginevyo labda uende ukiwa umevaa wigi na dera ndo ukatoe!
tutarudi benkiMfano wewe Ni jinsia ya kiume (Me) ukaenda kutoa pesa kwa wakala halafu jina lionekane mtoaji aliyetoa ni jinsia ya kike (KE)! Utaratibu wa Sasa hutakiwi kupewa pesa hiyo vinginevyo Ikitokea iwe Ni kwa huruma ya wakala!
Utaratibu kwa Sasa wenye majina yenye mashaka sahivi unapaswa kuonesha vitambulisho au kutoa maelezo polisi vinginevyo labda uende ukiwa umevaa wigi na dera ndo ukatoe!
hapo sasa ndipo tutakapojua pesa za ukweli zinakaa benki na si kwa wakala.Mfano wewe Ni jinsia ya kiume (Me) ukaenda kutoa pesa kwa wakala halafu jina lionekane mtoaji aliyetoa ni jinsia ya kike (KE)! Utaratibu wa Sasa hutakiwi kupewa pesa hiyo vinginevyo Ikitokea iwe Ni kwa huruma ya wakala!
Utaratibu kwa Sasa wenye majina yenye mashaka sahivi unapaswa kuonesha vitambulisho au kutoa maelezo polisi vinginevyo labda uende ukiwa umevaa wigi na dera ndo ukatoe!
huko benki ndo hawachelewi kukukalisha kwenye bench kumbe wanakuitia polisitutarudi benki
leta source kwanza acha tantalila tantalilaMfano wewe Ni jinsia ya kiume (Me) ukaenda kutoa pesa kwa wakala halafu jina lionekane mtoaji aliyetoa ni jinsia ya kike (KE)! Utaratibu wa Sasa hutakiwi kupewa pesa hiyo vinginevyo Ikitokea iwe Ni kwa huruma ya wakala!
Utaratibu kwa Sasa wenye majina yenye mashaka sahivi unapaswa kuonesha vitambulisho au kutoa maelezo polisi vinginevyo labda uende ukiwa umevaa wigi na dera ndo ukatoe!
Tembea na cheti cha ndoa mfukoni.Duuuh mimi natumia namba ya mke wangu mbona patakuwa patamu hapo.
Tembea na cheti cha ndoa mfukoni.
Kweli,na je kama namtole mamaKama naenda kumtolea wife kuna kosa?
Tunashuka na wewe jumla jumla, tunakagua jinsia.Kwa mfano mm naitwa Amani inakuaje apo, maana kuna Amani wa kiume na wapo mademu wanaitwa Amani.?