Tetesi: Tutaelewana taratibu; Ukitoa pesa kwa wakala wa pesa Jina liwe la jinsia tofauti na yako hutakiwi kupewa pesa zaidi ya kukamatwa

😀 😀 😀 😀 😀 Duh eti uende umevalia dera na wigi
 
Kwahiyo shida ni jinsia sio majina! Kama Mimi ni Sebastian na nikienda ikatokea jina la Lazaro hakuna shida sio

Sent from my Redmi Note 6 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hawawezi kufikia huko kote ilihali wanajua wazi watu wamesajiliana line na hii namna ya wenye hawana lone za majina yao ni wengi sana,hii ni biashara inaingiza kodi pia,wakizidi kukazia kupita kiasi basi kuna namna ya kumhujumu tu Rais wetu maana wananchi ndo wataumia na tutalaumu sana,maana yake tutarudi kumlaumu Rais,yamkini huko sehemu husika wanamhujumu mpendwa wetu tunaye muamini sana na yeye anatupambania kweli kweli
 
Kwa Puerto Rico inawezekana Sheria za kukandamiza wananchi zinatolewa haraka na kusainiwa tuu ili waishi kama wanavyotaka wao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…