Tutafute hela jamani!

Tutafute hela jamani!

Sio Kila bidhaa mlengwa ni wewe, Kila biashara Ina soko inalolenga ndio maana chips kuku hiyo hiyo utauziwa elfu 5 mbagala ila ukienda machimbo ya masaki huko utauziwa elfu 30.

Hiyo bei ni kubwa kwako ila wateja wao ni mahoteli makubwa, mabalozi, political class, business moguls n.k so wanaiweka bei inayoakisi thamani ya wateja wao.

So usishtuke sana quality ni Ile Ile tofauti ni market segment tu.
Naunga hoja
 
Inaitwa market segregation
 
Nakumbuka niliendaga pale lifemate kuna sofa nililiona nikauliza bei tena ilikua msimu wa punguzo yule dada akaniambia m19 nilitoka haraka nikijua kabisa nimeingia sehemu isio sahihi kwangu mwishoe nikaishia kwenda keko nikamuungisha mwanangu 😂😂😂😂😂
Samahani kidogo umesema ni milioni tisa au milioni 19?
 
Sio Kila bidhaa mlengwa ni wewe, Kila biashara Ina soko inalolenga ndio maana chips kuku hiyo hiyo utauziwa elfu 5 mbagala ila ukienda machimbo ya masaki huko utauziwa elfu 30.

Hiyo bei ni kubwa kwako ila wateja wao ni mahoteli makubwa, mabalozi, political class, business moguls n.k so wanaiweka bei inayoakisi thamani ya wateja wao.

So usishtuke sana quality ni Ile Ile tofauti ni market segment tu.
Hapana quality haiwezi kuwa sawa, nimelala hotel nyingi za Nyota mbalimbali ukweli ni kwamba kuna kulala na kupitisha usiku.

Wengi tunapitisha usiku tu ndio maana back pain hazituishi, godoro la laki NNE ni kutumia miezi miwili tu au 6 siyo miaka unadanganywa alinunuwa babu mpaka Mjukuu analitumia.
 
Aloooh!!
 
Back
Top Bottom