Tutafute jina lingine mbadala wa Mkuu

Tutafute jina lingine mbadala wa Mkuu

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,010
Habari.

Kwa mtazamo wangu naona kabisa neno "MKUU" limepitwa na wakati hapa JamiiForums.

Ninapendekeza iundwe Tume mpya kwa ajili ya kupata mchakato wa jjna mpya.

Kwanini nasema hivi, wakati najiunga jf sio kwa id hii watu wengi walikuwa na hekima na weredi wa hali ya juu ,ila kwa sasa wajinga wamekuwa wengi na wameweza kulishusha hadhi ya hili jina hata lishindwe kutumika tena.

Nakaribisha mapendekezo.,mimi ningependa litumike Kiongozi.
 
Hivi kumbe watu walikubaliana kuitana hivyo, au uliyokea tu!

Binafsi sikumbuki kama nilishawahi kumuita mtu mkuu humu jukwaani.
 
Back
Top Bottom