Tutafute jina lingine mbadala wa Mkuu

Tutafute jina lingine mbadala wa Mkuu

Kama tutaweza kulibadirisha hili KUCHAKATA/CHAKATWA/MBUSUSU
Basi hilo la mkuu ni jepesi sana
 
Habari.

Kwa mtazamo wangu naona kabisa neno "MKUU" limepitwa na wakati hapa JamiiForums.

Ninapendekeza iundwe Tume mpya kwa ajili ya kupata mchakato wa jjna mpya.

Kwanini nasema hivi, wakati najiunga jf sio kwa id hii watu wengi walikuwa na hekima na weredi wa hali ya juu ,ila kwa sasa wajinga wamekuwa wengi na wameweza kulishusha hadhi ya hili jina hata lishindwe kutumika tena.

Nakaribisha mapendekezo.,mimi ningependa litumike Kiongozi.
YANI HAO ULIOWAITA WAJINGA TENA UWAPE UONGOZI.Acha masihara
 
Habari.

Kwa mtazamo wangu naona kabisa neno "MKUU" limepitwa na wakati hapa JamiiForums.

Ninapendekeza iundwe Tume mpya kwa ajili ya kupata mchakato wa jjna mpya.

Kwanini nasema hivi, wakati najiunga jf sio kwa id hii watu wengi walikuwa na hekima na weredi wa hali ya juu ,ila kwa sasa wajinga wamekuwa wengi na wameweza kulishusha hadhi ya hili jina hata lishindwe kutumika tena.

Nakaribisha mapendekezo.,mimi ningependa litumike Kiongozi.
Mkaruka!
 
Mkuu wacha izo. Maneno yanakuja yenyewe tume ya nini? Mkuu halikuundiwa tume, papuchi halikuundiwa tume, mbususu halijaundiwa tume, na sasa chawa wala halijaundiwa tume.
 
Habari.

Kwa mtazamo wangu naona kabisa neno "MKUU" limepitwa na wakati hapa JamiiForums.

Ninapendekeza iundwe Tume mpya kwa ajili ya kupata mchakato wa jjna mpya.

Kwanini nasema hivi, wakati najiunga jf sio kwa id hii watu wengi walikuwa na hekima na weredi wa hali ya juu ,ila kwa sasa wajinga wamekuwa wengi na wameweza kulishusha hadhi ya hili jina hata lishindwe kutumika tena.

Nakaribisha mapendekezo.,mimi ningependa litumike Kiongozi.
Huyo kiongozi anamuongoza nani?
 
Back
Top Bottom