Tutaje ahadi za kimapemzi ambazo hazitekelezeki

Tutaje ahadi za kimapemzi ambazo hazitekelezeki

MANZI:baby wewe unanijulia kweli kuliko hata hao walio pita ma ex wangu. (week tu una mfuma na vi msg vya kugawa uroda)
 
Hii tayar kwan barabara znajegwa na ile fly over pia inajegwa nyie vipiiiiiiii?
nimetoa maoni yangu kama ww unavyotoa sasa sijakulazimisha uyakubali au uyakatae pia kama hyo ahadi ilishatekelezwa niambie yawezekana sijui.
 
Back
Top Bottom