GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Kuna uzi humu unaongelea makampuni ambayo hayajari wafanyakazi wake., wengine wananyanyasa kabisa wafanykazi.
Upande mwingine kuna makampuni au Taasisi ambazo zinajari wafanyakazi au waajiriwa, nao wanastahiri kutambuliwa na kupewa pongezi hapa JF.
Mimi naanza na Boss wa Tronic, kampuni ya vifaa vya umeme iliyopo jijini DSM.
Zijafanya kazi hapo ila sifa zake nzuri nimezisikia kutoka kwa watu wangu wa karibu.
Mshahara kwa wakati,
Parcel za vyakula kila baada ya muda fulani.
Posho za sikukuu,
Kulipia ada za watoto wa wafanyakazi n.k
Twende kazi...