ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna council hawajui tu kutengeneza barabara wao hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya za tanroad unakuta wanasubiri MWENGE upite ndo iburuzwe. kwangu mimi aisee nikiwa kama mkazi wa kusini halmshauri ya nachingwea na tunduru wanazingua sana Tena wilaya kongwe na zenye kila kitu mazao, Madini, kambi za jeshi lakini kwenye barabara washamba sana sijajua wanafeli wapi.