Kama kuna majimbo yenye barabara zenye afadhali ni zile zilizowahi kuwa na wabunge wapinzani lakini yale majimbo yaliyotawaliwa na CCM milele huko ukifika hata kwa miguu inakwama hadi uvutwe na D8 mfano mkoa wote wa Morogoro Dodoma utadhani wanaishi gorillas peke yakeNani alikwambia uchague upinzani.