Tutaje wilaya zenye barabara mbovu za vijijini

Nani alikwambia uchague upinzani.
Kama kuna majimbo yenye barabara zenye afadhali ni zile zilizowahi kuwa na wabunge wapinzani lakini yale majimbo yaliyotawaliwa na CCM milele huko ukifika hata kwa miguu inakwama hadi uvutwe na D8 mfano mkoa wote wa Morogoro Dodoma utadhani wanaishi gorillas peke yake
 
Hivi Kivule walijenga barabara au ndio danadana zinaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…