Tutajie JF members wa nne ambao kila mchango wao lazima wale like [emoji106] yako

Tutajie JF members wa nne ambao kila mchango wao lazima wale like [emoji106] yako

1.Paschal Mayala
2.Malcom Lumumba
3.Paul Alex
.Somebdoy Eden kimario
5.Allen kilewela
6Erythrocyte
Aiseee, ahsante sana mkuu. Kupata like ya mtu kama wewe kwa kila bandiko ni heshima ya kipekee sana kwangu.
 
Kuna wale jamaa wa intelligence aisee mmoja ni doctor kama sikosei nimemsahau jina, kuna mzee wicky, Dogo Da vinci, Mwekundu mwenzangu Gwazwat ebanae salute wazee.
 
Kuna watu ambao hata Kama sijaelewa alichoandika au sikubaliani naye lakini lazima nimpe tu like [emoji106]..kwa jinsi tu wanavyowasilisha wananishawishi Sana.nashindwa kabisa kuwanyima like
1.paschal mayala
2.nokia83
3.mshana Jr
4.mo11
Kwangu Mimi hizo ndo ID ambazo chochote watakachosema Mimi fasta tu like Kama zote [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Zero IQ
Castr
Mshana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu ambao hata Kama sijaelewa alichoandika au sikubaliani naye lakini lazima nimpe tu like [emoji106]..kwa jinsi tu wanavyowasilisha wananishawishi Sana.nashindwa kabisa kuwanyima like
1.paschal mayala
2.nokia83
3.mshana Jr
4.mo11
Kwangu Mimi hizo ndo ID ambazo chochote watakachosema Mimi fasta tu like Kama zote [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji108]

Jr[emoji769]
 
Asanteni sana... On bended knees... napokea kwa moyo mnyoofu na unyenyekevu mkuu... Bila nyie mimi si kitu.... Ni team work.... Na tu wamoja katika wingi wetu... Am humbled....!!!!

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom