MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Aiseeeeee!Hiyo namba 2 ni cheche..sema huwa inaibuka kwenye ajenda zinazohusu mambo mazito ya huko wanapaita jikoni (kwenye nyeti za taifa).
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizi stori zangu za vijiwe vya kahawa usizitilie maanani sana, hata huko jikoni sijawahi kujua hata rangi yake ikoje. Uwe na usiku mwema kamanda