Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mh,Jeremiah Mrimi Amsabhi,ni mojawapo ya wabunge wakimya na wastaarabu kwa Serikali BungeniHadi wakina Msukuma na Mpina wanapata nafasi kila siku ya kuchangia kati ya wabunge 360 ni ukweli kwamba wapo wabunge wengi ambao kwao wao ubunge ni posh...
Hivi tangu huyu andunje amwagwe ameshahudhuria tena bungeniNdugai
Wa Bukoba mjini ni NW.yule wa bukoba mjini
Wa Bukoba Mjini ni Naibu Waziri.yule wa bukoba mjini
Ni wote maana hakuna aliyechangia cha maanaHadi wakina Msukuma na Mpina wanapata nafasi kila siku ya kuchangia kati ya wabunge 360 ni ukweli kwamba wapo wabunge wengi ambao kwao wao ubunge ni posho.
Vikao vya bunge vinaanza hadi vinamalizika hakuna siku amewahi kuchangia chochote. Wengi wao ni wabunge wa viti maalum. Swali la kujiuliza wanatumia mbinu gani kuwasiliana na waliowatuma?
Nichukue fursa hii kuomba tuwafahamu wale ambao sauti zao kuzisikia ni nadra tuweze kuwakumbusha umuhimu wa kuongea na kutusemea kunako Bunge.