Tutajie Mbunge ambaye hujawahi kumsikia akichangia chochote Bungeni

Hadi wakina Msukuma na Mpina wanapata nafasi kila siku ya kuchangia kati ya wabunge 360 ni ukweli kwamba wapo wabunge wengi ambao kwao wao ubunge ni posho.

Vikao vya bunge vinaanza hadi vinamalizika hakuna siku amewahi kuchangia chochote. Wengi wao ni wabunge wa viti maalum. Swali la kujiuliza wanatumia mbinu gani kuwasiliana na waliowatuma?

Nichukue fursa hii kuomba tuwafahamu wale ambao sauti zao kuzisikia ni nadra tuweze kuwakumbusha umuhimu wa kuongea na kutusemea kunako Bunge.
Njalu daud silanga wa itilima
 
Hivi nyie kuna jambo lolote mliwaambia hao wabunge wakaongee, wakanyamaza? Vinginevyo msiwalaumu. Si kazi yao kujizushia maneno na kusema kwa niaba ya wananchi wangu. Nyie muwaambie wakaseme nini, kama hawapatikani ilo ndio la kuzungumza.
Suala walipatikana vipi hii ni hoja ingie.
Kwa miaka ya hivi karibuni hata wakiitisha mikutano ukauliza swali waweza kubebwa msobemsobe na uvccm mpaka polisi, ukiwapigia simu hawapokei, sasa utawatuma kuanzia wapi, kwanza wenyewe wanasema hatukuwachagua kwahiyo tusiwasumbue.
 
Hadi wakina Msukuma na Mpina wanapata nafasi kila siku ya kuchangia kati ya wabunge 360 ni ukweli kwamba wapo wabunge wengi ambao kwao wao ubunge ni posho.

Vikao vya bunge vinaanza hadi vinamalizika hakuna siku amewahi kuchangia chochote. Wengi wao ni wabunge wa viti maalum. Swali la kujiuliza wanatumia mbinu gani kuwasiliana na waliowatuma?

Nichukue fursa hii kuomba tuwafahamu wale ambao sauti zao kuzisikia ni nadra tuweze kuwakumbusha umuhimu wa kuongea na kutusemea kunako Bunge.
Mbunge wa Rungwe,Mbeya

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom