Tutajie Mbunge ambaye hujawahi kumsikia akichangia chochote Bungeni

Duuuh aiseee anaitwa nani huyo Mbunge
 
Itungwe sheria kama ile ya mahudhurio bungeni kwamba mbunge asipohudhuria vikao 3 bila taarifa basi asimamishwe bungeni na pia bila posho vivo hivyo asipoongea bungeni wala kuandika kero za wananchi kwa spika vikao 3 basi itoke Alert ⚠ Maalum kwenda kwa wananchi wa Jimbo lake itayotoa go ahead kwa wananchi kupiga kura ya kubatilisha maamuzi yao ya kumchagua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatoa siri za kambi, mbna hata yule mgeni mwenyeji wa Tabora, kazi yake kufata vitoto vya shule hasa wa kiume, na anapenda kwenda kutafuta shule za special school.
 
Daaa ASILIMIA KUBWA ya wabunge wa mkoani kwangu hapa morogoro hamna kitu wanafanya Yani vikao vinaanza mpaka vinaisha hakuna kitu wanachangia Sasa kwao sijui ubunge ni posho na kulipwa vizuri kutembelea magar mazuri au ni vipi wakati wananchi tuna kero kibao tu inauma sana alafu inafika wakati wa uchaguzi Kuna wamama wapuuzi Bado wanamchukulia fomu huyo MBUNGE
 
Dr Babu tale
 
MBUNGE BANDIA WA VITI MAALUM MKOA WA RUKWA ATOKAYE ZANZIBER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…