Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Fanya utafiti wako mh. Mbungemfano......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya utafiti wako mh. Mbungemfano......
Sio wa same kweli uyo David mathayo?David Mathayo wa Musoma mjini. Huyu yuko Musoma tangu mwaka 2020 baada ya kuapishwa hakuwahi kurudi Dodoma
Kiukweli sijui alichokichukia ni nini, sio kwa ukimya huuBashiru
Huyu mwamba serikali ya samia ameichukia mno.Ndugai
Nilitaka kumuongelea yani huyu jamaa sijui anaona aibu kuongea ili hali watu wa serengeti wanashida mf watu wengi wamekuwa wakipotelea hifadhini kwa kuuwawa na askar poriMbunge wa Jimbo la Serengeti Mh,Jeremiah Mrimi Amsabhi,ni mojawapo ya wabunge wakimya na wastaarabu kwa Serikali Bungeni
1 - Mh Jemiah Mrimi Amsabhi.
2- ......
Huyo ni naibu waziri mbali na kujibu hoja za wabunge kuhusu wizara yake hatochangia chochote sababu yuko upande wa serikali.Yule wa bukoba mjini
😄Hadi wakina Msukuma na Mpina wanapata nafasi kila siku ya kuchangia kati ya wabunge 360 ni ukweli kwamba wapo wabunge wengi ambao kwao wao ubunge ni posho.
Vikao vya bunge vinaanza hadi vinamalizika hakuna siku amewahi kuchangia chochote. Wengi wao ni wabunge wa viti maalum. Swali la kujiuliza wanatumia mbinu gani kuwasiliana na waliowatuma?
Nichukue fursa hii kuomba tuwafahamu wale ambao sauti zao kuzisikia ni nadra tuweze kuwakumbusha umuhimu wa kuongea na kutusemea kunako Bunge.
Mpaka waambiwe? Majimboni kwao pamoja na mambo kadha wa kadha hawaoni shida, maitaji na mapungufu katika huduma mfano za afya, elimu, miundombinu nk?Hivi nyie kuna jambo lolote mliwaambia hao wabunge wakaongee, wakanyamaza? Vinginevyo msiwalaumu. Si kazi yao kujizushia maneno na kusema kwa niaba ya wananchi wangu. Nyie muwaambie wakaseme nini, kama hawapatikani ilo ndio la kuzungumza.
Suala walipatikana vipi hii ni hoja ingie.