Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

Nakushauri umshauri, ahame hiyo kozi. Japo saizi nasikia wana electives za ualimu ili wafae kuajiriwa kama walimu. Hiyo kozi ni majanga.

Ama kama nyumbani sio haba, na kichwani zinachaji haswa, akamalize na GPA kali halafu aunge master's.

Mkanye asidanganyike na stori za Dr. Sunzu. Huyu tuliwahi bishana juu ya tija ya hiyo kozi kwenye kipindi chake nikiwa mwaka wa tatu. Ni mtu smart ila kama H.O.D anashindwa kukudisappoint kwa kusema ukweli.

Akitaka ushauri wa kweli amtafute mtu anaitwa Dr. Mwaihuti, Stephen Mwaihuti.
BSC Maths unaweza kuajirika kama mwalimu wa hesabu kwenye private schools kama unapenda kufundisha.
 
Back
Top Bottom