Ciprofloxacin
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 286
- 544
Daaah, yaani nacheka utadhani mazuri ila hizi course bhana ukikurupuka nazo, mitaa itakulea🤣🤣🤣Eti computer science na Cyber crime utaambulia kuwa Fundi madishi na Fundi simu tu wa kujiajiri [emoji28]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Una ndugu pale utumishi?vip wadau kozi ya public relation and marketing, kwa upande wa ajira za serikali, je zipo ajira zake?
Zidisha maombi.vip wadau kozi ya public relation and marketing, kwa upande wa ajira za serikali, je zipo ajira zake?
BSC Maths unaweza kuajirika kama mwalimu wa hesabu kwenye private schools kama unapenda kufundisha.Nakushauri umshauri, ahame hiyo kozi. Japo saizi nasikia wana electives za ualimu ili wafae kuajiriwa kama walimu. Hiyo kozi ni majanga.
Ama kama nyumbani sio haba, na kichwani zinachaji haswa, akamalize na GPA kali halafu aunge master's.
Mkanye asidanganyike na stori za Dr. Sunzu. Huyu tuliwahi bishana juu ya tija ya hiyo kozi kwenye kipindi chake nikiwa mwaka wa tatu. Ni mtu smart ila kama H.O.D anashindwa kukudisappoint kwa kusema ukweli.
Akitaka ushauri wa kweli amtafute mtu anaitwa Dr. Mwaihuti, Stephen Mwaihuti.