PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 969
- 1,055
Great thread....ila figures kuhusu idadi ya tembo waliopo sasa sio sahihi wapo zaidi ya elf moja isipokuwa wanapatikana crater tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweliKulishakuwa na mipango endelevu ya kupanga matumizi ya ardhi ya vijiji,
Na kila mfugaji kuwa na limiti ya ng'ombe anaoweza kuwa nao,
Ila wafugaji wa kuchunga siyo wafugaji wao no waswagaji,
Na ni wabinafsi Sana hawajali jamii zingine!
Tusaidiane kulinusuru TaifaWafugaji wameitawala serikali!
Humo akiingia mkulima usiku, asubuhi kabla hata jogoo halijanya asubuhi atakuwa kishatolewa mzobe mzobe fastaaa
Halafu jamaa muongo eti tembo 30 haahaaa Hilo si kundi 1 Tu!Dunia nzima kwa sasa inateigemea zaidi Tanzania kuhusu wanyama pori. ALIEKWAMBIA NANI? DUNIA INAITEGEMEA TANZANIA
Ngorongoro hakuwez kuwa tembo 30 au 30 Elfu? Hawa watu sijui huwa wanaandikiwa huu ujingaHalafu jamaa muongo eti tembo 30 haahaaa Hilo si kundi 1 Tu!
Hawa jamaa wakianza kutumika na vikundi vya watu fulani fulani yaani huwa wanaweza kuleta taharuki nyuma ya keyboard!
Mbuga za Serengeti, Mikumi, Selous, Tarangire, Mkonazi, CHATO[emoji23]
Mbuga za Zim, Tswana, Kruger, Mmaasai Mara huko hazina wanyama??
Mkuu jamaa ana point ila hii exaggeration na fake data, inaonyesha anatumika na amekubali kutumiwaNgorongoro hakuwez kuwa tembo 30 au 30 Elfu? Hawa watu sijui huwa wanaandikiwa huu ujinga
Wamasai mmeshawasili[emoji23] Any way Endeleeni kukaa hifadhini na kula swala wazeeHalafu jamaa muongo eti tembo 30 haahaaa Hilo si kundi 1 Tu!
Hawa jamaa wakianza kutumika na vikundi vya watu fulani fulani yaani huwa wanaweza kuleta taharuki nyuma ya keyboard!
Mbuga za Serengeti, Mikumi, Selous, Tarangire, Mkonazi, CHATO[emoji23]
Mbuga za Zim, Tswana, Kruger, Mmaasai Mara huko hazina wanyama??
1000 hawafiki hata 500 hawafikiGreat thread....ila figures kuhusu idadi ya tembo waliopo sasa sio sahihi wapo zaidi ya elf moja isipokuwa wanapatikana crater tu......
Wewe endelea kukaa kaumba mjini pale na kula wauza nyapu mzee[emoji3]Wamasai mmeshawasili[emoji23] Any way Endeleeni kukaa hifadhini na kula swala wazee
🤣🤣🤣🤣🤣Katika watu siwapendi ni polisi na masai
Acha chuki zisizo na msingi. Serikali kama imeshindwa kulisimamia kwa ueledi ikaleta siasa za majitaka, ndiyo matokeo yake haya.Katika watu siwapendi ni polisi na masai
Acha upuuzi wako,wanyama wangekuwa wanaangamizwa kwa Kasi kama unavyosema si wangeshaisha kitambo?Mwaka 1960 Ngorongoro Ilikuwa na Tembo zaidi ya 2000! Ila leo hii Tembo waliobaki ngorongoro ni 30!. Moja ya utajiri wa kipekee duniani ni kuwa na wanyama Mwitu kama hawa ambao sisi wabongo tunawachukulia poa sana!
Ila wana thamani kubwa katika ulimwengu huu!. Dunia nzima kwa sasa inateigemea zaidi Tanzania kuhusu wanyama pori. Tanzania ndio wenye wanyama wengi tuliobakia duniani. Ila mbali na hilo wanyama wamekuwa wakiangamizwa kwa speed ya kutisha na sisi wenyewe Watanzania na sasa kuna wanyama ambao wapo kwenye Hatari ya kuangamia kabisa katika uso wa dunia.
Wamasai wakihamishwa ngorongoro tutakuwa tumeokoa maisha ya wanyama adimu ulimwenguni. Mwaka 1959 wakati England wanasaini makubaliano na Wamasai Ngorongoro ilikuwa na watu 8000!
Ila hadi sasa ndani ya ngorongoro kuna binadamu wapatao 120000! Tukiendelea na akili za ajabu. baada ya miaka 50 kutoka sasa Ngorongoro itakuwa na Binadamu 1000,000 na tukubali tukatae wajukuu zetu watakuja kuwa wanawaona Twiga na Tembo kwenye Picha na I pad!
Maana kwa akili zetu waTanzania Tembo Wa Ngorongoro hana tumaini tena la kuwa na kizazi chake miaka 30 ijayo!.
Ana hekima yoyote ambae anasimama na kuwatetea fisi na chui walio kwenye hatari ya kuangamizwa ulimwenguni kutokana na uharibifu wa binadamu!
By the way Kitenge awe katumwa au hajatumwa, aliloongea lina Faida kwetu na kizazi kijacho! ila kwa sababu Sisi weusi huwa tunaangalia leo hatuangalii kabisa kesho itakuaje, basi mimi najiandaa kurushiwa maneno makali na Kitenge akae chonjo maana binadamu waharibifu wasiofikiria kesho watamuwinda kama digidigi.
***** ********** ********* *****
Shida Sio uwepo wa Masai Ngorongoro! shida ni Uharibifu unaofanywa na Binadamu Ngorongoro kutokana na Ungezeko la kuzaliana kwao (Masai Ni Binadamu).
Kama nilivyosema 1959 kulikuwa na Binadamu 8000, na kulikuwa na Tembo zaidi ya 2000. Leo kuna Binadamu 120000, na tembo wamebaki 30! haya ngoja binadamu wazaliane wafike 1000,000 halafu mje mnipe idadi ya tembo watakaokuwa wamebaki.
LEO HII TUNATOKA NJE KUSAKA MAJANGIRI WANAOUA SIMBA WAKATI MAJANGIRI WAPO NDANI YA NYUMBA HIYO HIYO TUNAYOKAA!
## AKILI ZETU WATANZANIA MMMH!!! ##
Inauma sana
Ushauri wangu ni binadamu wawaache Wanyama Hapo mbugani. Maana Binadamu si wanyama, hawawezi kuishi na wanyama pamoja mwituni. Watafutiwe maeneo yatakayowafaa wao na mifugo yao, Tanzania ni kubwa sana na maeneo mazuri kwa ufugaji ni mengi sana.