Tutajuta kwa suala linaloendelea Ngorongoro, tutake tusitake

Great thread....ila figures kuhusu idadi ya tembo waliopo sasa sio sahihi wapo zaidi ya elf moja isipokuwa wanapatikana crater tu......
Leo ulilala wapi?.
Kwanza hifadhi ya Ruaha ndiyo yenye tembo wengi zaidi kuliko yeyote kaskazini mwa jangwa la sahara ikikadiliwa kuwa zaidi ya tembo 10,000 wanaokusanyika katika eneo moja kuliko eneo lingine lolote la afrika mashariki na idadi nzuri ya wanyama.

Takwimu zako sijui umezitoa wapi au unataka kufagilia tu kitu usicho kijua kuhusu huyo mnyama, although taarifa tulizo nazo katika kreta ya Ngorongoro ni tembo 300+ na sababu zipo kwa nini idadi ni hii.
 
Una akili kama za marehemu Mzee.

Hivi pale mirerani una uhakika madini hayatoroshwi? FYI baada ya kujengwa ule uzio Madini 'yamepigwa' na yanapigwa haijawahi tokea.

Ukiweka fence ngorongoro umeshatengeza 'Zoo' na si hifadhi tena!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una ushahidi gani Maasai kaua tembo au kakutwa na pembe za ndovu? Maasai ni rafiki wa wanyamapori miaka nenda miaka rudi.

Hizo tafiti zenu za 'kipuuzi' bila ushahidi zitawaletea madhara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maeneo hayatengwi kikamilifu, Unatakiwa kutengwa mkoa mzima uwe ni kwaajili ya wafugaji tu, na wakulima wawe na maeneo yao
Unaweza kupendekeza ni eneo gani hilo hapa nchini ambalo liko wazi wanaweza kutengewa kama mkoa waridhike?

Ila ujue siyo shughuli ya kitoto.
 
Dhu, unasema leo ngorongoro kuna Tembo 30!! chanzo cha data zako ni wapi? Umeamua kutia chumvi kwa data za upotoshaji? Hapa naona umeropoka tu..Tafuta data
 
Rais Samia tumia JWTZ kuhamisha hao Wamasai...Tena inatakiwa iwe special Operation kama ile ya.Kibiti..

Nyumba zote ziteketezwe kama si kubomolewa
 
Rais Samia tumia JWTZ kuhamisha hao Wamasai...Tena inatakiwa iwe special Operation kama ile ya.Kibiti..

Nyumba zote ziteketezwe kama si kubomolewa
Siyo kutumia nguvu Ila inatakiwa Kwanza watafutiwe eneo kubwa kwaajili ya mifugo Yao na familia zao, then wapewe mda wakuweka makazi Yao alafu zoezi la kuwamisha lifate na pia serikali haija jinsi lazima itenge fungu la kuweka miundombinu rafiki kama barabara maji na umeme
 
Mkuu unasema ngorongoro ina tembo 30 je umewahi kufika?
 
Na wanaosafirisha..twiga pia msiwasahau...

Loliondo imekodiwa pesa anakula Mwinyi..
Watoke wote na wanasai.. ..

Pembe zinauzwa na wauzaji wanajulikana..mchina kajaa anakkusanyiwa akauze..leo .anaonekana Masai tu mbaya..
Maulid ndio wamemtoa chambo kufanikisha hilo..!

Na kuna watz wameingizwa 'chaka' kuamini kwamba kuna uharibifu wa mazingira, mara sijui watoto wa wamasai wana maisha magumu wasaidie, mara wanaliwa na wanayama wakali yaan sababu za kipuuzi puuzi tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu unaweza kukuta wewe naye ni graduate, unaposema 30 tu umesikia Ngorongoro ni Zoo au, unataka tuamini kuwa tukienda Ngorongoro Leo au kesho tutawakuta Hao tembo 30? Unaongelea Masai kuharibu mazingira mbona huongelei moshi wa magari kuchafua mazingira? Mbona huongelei overcrowded tourism activities? We ungekuwa Masai wa Ngorongoro unaambiwa uhame ungekenua meno kwa furaha tu? Unajua maana ya picha ya ng'ombe kwenye logo ya NCA? Tuache ushabiki mandazi acheni wamasai wahame kwa kuamua kwani lazima nature ichukuwe nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…