Tutajuta kwa suala linaloendelea Ngorongoro, tutake tusitake

Acha upuuzi wako,wanyama wangekuwa wanaangamizwa kwa Kasi kama unavyosema si wangeshaisha kitambo?

In fact wameongezeka Sana ndio maana ya kuanzishwa bucha za wanyamapori na migogoro ya wanyama kuvamia Mazao ya wananchi.
Fact!
Alikuwa na point ila hapo Kwa wanyama kuisha hadi kubakia tembo 30😂 kaharibu mantiki imepotea!
 
Maasai........ni binadamu na ndugu zetu.....watu pori.....nna hakika wanaingiliana na wa kule kenya.....na anaweza fanya uhalifu tz akakimbilia kenya.....bado najiuliza wakiwafurusha kwa lazima...si watateemkia KE......wakatulie kwanza then ...moto ukipoa warudi...busara, busara, busara...utalii tunautaka....na maasai wawe salama...
 
Tatizo la ujinga wa watanzania kila kitu wanafanya siasa, hasa kwenye mambo ya msingi. Leo CCM wanawaza mambo ya kura za wamasai..na sio urithi wa vitukuu vyetu
 
wewe hao tembo wamekusaidia nini

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Wamasai wanakula tembo au? Tembo wanaisha kwa sababu za uwindaji haramu...
Nilikuwa naandika kwenye thread mbalimbali zilizohusu hii scandal kuwa kama wao walihamia pale baada ya kutoka Serengeti how come ngorongoro?, but now kweli wanaondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…