Huyu ni Mzee ambaye alikuwepo tangu wakati wa Nyerere. Kikubwa bado yuko fit na anaweza kujibu maswali. Siku hizi wanasiasa wanajiona wanajua sana kila kitu kuongea kishabiki na kuweka kiki. Lakini ukimuona huyu mzee ambaye kaona mengi anahofia kwasababu anaongea kwa uzoefu na data sio ushabiki
View: https://youtu.be/aEPefwrm3g8?si=GUnZyu7_5UPZNDb3
View: https://youtu.be/aEPefwrm3g8?si=GUnZyu7_5UPZNDb3