Dr Samia naye anasubiri kuja kuandika Kitabu cha Majuto kama Late Mkapa, Late Mwinyi kwa kushindwa kutumia fursa hii aliyopewa na Mungu.Huyu ni Mzee ambaye alikuwepo tangu wakati wa Nyerere. Kikubwa bado yuko fit na anaweza kujibu maswali. Siku hizi wanasiasa wanajiona wanajua sana kila kitu kuongea kishabiki na kuweka kiki. Lakini ukimuona huyu mzee ambaye kaona mengi anahofia kwasababu anaongea kwa uzoefu na data sio ushabiki
View: https://youtu.be/aEPefwrm3g8?si=GUnZyu7_5UPZNDb3
Mzee kama huyu anapambania Katiba Mpya kwa ajili ya vizazi vyake na wajukuu.Huyu ni Mzee ambaye alikuwepo tangu wakati wa Nyerere. Kikubwa bado yuko fit na anaweza kujibu maswali. Siku hizi wanasiasa wanajiona wanajua sana kila kitu kuongea kishabiki na kuweka kiki. Lakini ukimuona huyu mzee ambaye kaona mengi anahofia kwasababu anaongea kwa uzoefu na data sio ushabiki
View: https://youtu.be/aEPefwrm3g8?si=GUnZyu7_5UPZNDb3
Alikua Prime Minister, Vice President, Judge nk.Naunga mkono hoja,ila why amepata voice back baada ya kutoka kwenye systems za kiutawala?alishakua PM mbona Haku drive mawazo haya ndani ya bunge (kiongozi wa serikali ndani ya bunge)au kwenye cabinet akiwa PM?
Mwingine uenyekiti wa ccm wa kijiji tu anakuwa chawa mpaka unamshangaa anachojidai.Alikua Prime Minister, Vice President, Judge nk.
Pamoja na hayo, he is a man of principles.
Enzi za Mwl mpaka 1990s Katiba Yetu imepitia michakato ya mabadiliko mbali mbali huendi alikuwa Driver.....baada ya Warioba Generation kilifata Kizazi cha Chawa Generation.Naunga mkono hoja,ila why amepata voice back baada ya kutoka kwenye systems za kiutawala?alishakua PM mbona Haku drive mawazo haya ndani ya bunge (kiongozi wa serikali ndani ya bunge)au kwenye cabinet akiwa PM?