Tutakukosoa tu, hakuna aliyelazimisha uwe Rais. Sikiliza wapinzani tunataka nini

Kwa Afrika nafikiri Demokrasia iliwahi sana,nikiangalia yanayotokea Kenya,Kuna Katiba mpya,lakini Raisi anakuwa jeuri kwa kutumia vyombo vya dola,anamtisha Makamu wake,anadharau bunge,hafati sheria,anaonea wabunge wanaompinga,sasa hebu fikiria kusingekuwa na Katiba mpya
 
Sijampata kuona lichama la hovyo Kama CCM kwao mtu akiwa rais ana madaraka zaidi ya mwenyezi Mungu.
Kichaaa ww huna adabu tena shika adabu yako MUNGU HAFANANISHWI NA KITU CHOCHOTE WE UNAABUDU MASHETANI
 
Mama endelea kushikilia hapo hapoooo,umewapiga TKO ya hatari.

Hicho wanachokidai wao ni takwa lao wao,wananchi hawajawahi kuleta maombi popote kuomba hicho wanachokitaka.

Usicheke na nyani utavuna mabua,ukiona adui wako anakusifia sana kuwa makini nae sana.
 
Kama unafikiri kuvumilia ukosoaji ni rahisi, mkosoe Mbowe.

Na kama unadhani kubadili katiba ni rahisi, waambie CHADEMA waweke kipengele cha ukomo wa madaraka, na cha kumwajibisha mwenyekiti🤣
 
Yani asikilize mnataka nini?

Mnafikiri Rais ni bibi yenu ee?

Rais atafanya kazi kwa mujibu wa taratibu na ilani ya chama chake cha ccm!

Eti asikilize wapinzani tunataka nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wehu na wapumbavu hawa

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwani wamekatazwa na nani si waanzishe katiba yao.

Kuna wengine eti wanasema asiitwe tena Mama.
 
Chadema hua mnajikuta ni nani nchi hii, eti asikilize tunataka nini!

Maanina.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Eti wasikilizwe, rais hana muda mchafu.

Kina Lissu wameanza kuomba omba huko eti wahakikishiwe usalama. Pumbavu sana hawa watu, yaani rais aache kuwatumikia Watanzania aanze kuhakikishia watu sijui uhuru sijui usalama??

Hii nchi ni huru na salama tangu 1961.

Na atakae taka kuondoa amani na usalama wetu mamlaka zita-deal nae
 
Watazaa safari hii umb.wa koko hawa
 
Hivi ulishajiuliza ni nani atasimamia katiba mpya isiyoegemea upande? Hivi una amini serikali iliyo madarakani inaweza kuleta kusikamia katiba unayoifikiria?
 
Sijawahi kuona chama kilichopo madarakani kikifuata kwa nukta maelekezo ya chama Cha upinzani, haijawahi kutokea hivyo.

Kama mnataka Kila jambo lenu lifanyike, shindeni uchaguzi.
 
WEWE NI NANI?
 
Sio kila kitu kipya ni bora.inawezekana wana katiba mpya kama andiko lakini halina ubora wowote.waafrika hatupendi vitu vizuri vyakutuongoza.Ni waafrika wachache sana wanaoweza kuweka misingi mizuri yakisheria itakayoweza kumwajibisha ata yeye mwenyewe.
 
Hiyo katiba mnayoitaka ni wananchi wangapi wanaijua.Naona wanasiasa na wansharakati ndio wanahangaika tuu
Ndo maana elimu inaendelea kutolewa ili kuwaelimisha wananchi wengi zaidi.ila usisahau kua ata hao wanasiasa na wanaharakati nao ni wananchi.
 
Katiba mpya ni muhimu sana
 
Hahahahahaha utoto mwingine huu..

yule jamaa mbona hamkuwa mnamlazimisha asikilize mnataka nini, zaidi ya nyie kusikiliza anataka nini?...hapa ndio mnapodhihirisha utoto na uoga wenu kwenye mambo yanayohitaji uanamume na ujasiri...HAKUNA DOLA INAPATIKANA KIRAHISI DUNIANI, mjifunze kufa na kumwaga damu kwa manufaa ya vizazi vyenu sio kujificha mafichoni pale mnapoona magumu.

Sasa hivi wote mmetoka mafichoni baada ya kuona mama anawasikiliza na sio mkali wa mikwala na mateso, eti leo mnajifanya majasiri kudai katiba mpya na blah blah nyiiingi..
 
Hao wananchi wanafikiwa kwa njia zipi.ata serikali ikitaka kufikisha jambo kwa wananchi inatumia makundi maalum au vyombo vyenye mamlaka kiserikali vitakavyokusanya wananchi pamoja.sasa unadhani wananchi mmoja mmoja watafikishaje mawazo yao serikalini bila kutumia makundi kama hayo kwasababu ata mbunge naye ni mwanasiasa.Au unawaza ujinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…