Yani asikilize mnataka nini?
Mnafikiri Rais ni bibi yenu ee?
Rais atafanya kazi kwa mujibu wa taratibu na ilani ya chama chake cha ccm!
Eti asikilize wapinzani tunataka nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie ndo wale wajinga ambao hamna mnachokielewa zaidi yakushadadia rais kasema nini.leo kasema mchakato usubiri unashangilia kesho akibadili mawazo utakuja tena kushangilia.alafu punguza ujinga wa ukabila autakusaidia kuondoa ujinga ulionao uko kwenu.hopeles kabisa.Mtasubiri Sana,Katiba ya nini ilikhali hata kilichomo kwenye katiba yetu ya sasa hamkifahamu.sijawahi kuwaelewa chadema na wachaga kwa pamoja kuwa hitaji lao ni lipi
Ata wewe unaweza kuwaambia.ata hivyo sidhani kama wanachama wa chadema wamesema katiba yao ina mapungufu kiasi hicho vinginevyo wewe ni kiherehere chako tu kujifanya unataka kuwasemea.Katiba ya nchi ni yawananchi wote na katiba ya chadema niya wanachama wa chadema.Kama unafikiri kuvumilia ukosoaji ni rahisi, mkosoe Mbowe.
Na kama unadhani kubadili katiba ni rahisi, waambie CHADEMA waweke kipengele cha ukomo wa madaraka, na cha kumwajibisha mwenyekiti[emoji1787]
Vizuri sana,hao wanaotaka jambo lao hilo wamefuata makundi yapi hayo maalum kujustify takwa hilo?Hao wananchi wanafikiwa kwa njia zipi.ata serikali ikitaka kufikisha jambo kwa wananchi inatumia makundi maalum au vyombo vyenye mamlaka kiserikali vitakavyokusanya wananchi pamoja.sasa unadhani wananchi mmoja mmoja watafikishaje mawazo yao serikalini bila kutumia makundi kama hayo kwasababu ata mbunge naye ni mwanasiasa.Au unawaza ujinga tu.
Aaache kama ngumu...kwanini wanasema urais ni kazi ngumu huku bado wanaitaka?Kuongoza Taifa hakujawah kuwa kazi rahsi hata sku moja