Tutakumbushana tena 2025 Magufuli kama atakubali kuachia madaraka basi atalazimisha kutuachia Rais anayependa yeye

Tutakumbushana tena 2025 Magufuli kama atakubali kuachia madaraka basi atalazimisha kutuachia Rais anayependa yeye

Siwezi puuza huu uzi watu waoga huwa wanaweka kinga ili wasiumizwe ila kuna mawili
1.KUKOMAA MADARAKANI
2.AU KUKIMBIA NCHI/KUISHI UHAMISHONI ILI WATU WASILIPE KISASI
3.KUMCHAGUA SHOSTI MWENYE MAELEKEZO YA KUMLINDA kama mtoa mada asemavyo humu
Sure
 
Sijui kama tutafika 2025 salama, maana kwa ninavyo uona mwelekeo kama dereva gari limesha mshinda na limeshaacha njia. Amesha amua liwalo na liwe, kama kuchoma kibanda fresh tu.

Sio kwa hali hii ya sasa hivi mpaka kufikia hatua "TRA KUANZISHA KODI ZA VITANDA". Wenyewe kwa lugha ya malkia eti wanaita "BED LEVY".
Aiseee
 
Viongozi wa awamu hii wanaishi kwa woga sana, kama vile hajashinda uchaguzi. Jana Majaliwa alikua anapita, nusu saa kabla bara bara iliachwa wazi na traffic, magari yote yalipack pembeni. Majaliwa alipita kama mwewe.
[emoji16][emoji16]
 
Sijui kama tutafika 2025 salama, maana kwa ninavyo uona mwelekeo kama dereva gari limesha mshinda na limeshaacha njia. Ameshaamua liwalo na liwe, kama kuchoma kibanda fresh tu.

Sio kwa hali hii ya sasa hivi mpaka kufikia hatua "TRA KUANZISHA KODI ZA VITANDA". Wenyewe kwa lugha ya malkia eti wanaita "BED LEVY".
 
Umeona lile feni analotembea nalo kwenye gari lakini, lile ni lazima liwe nyuma yeye mbele.
Watu waliyaona,

Halaf alivyokuwa mbishi alikuwa anajifanya si mgonjwa eti, hadi siku ya mwisho anakufa bado anaendelea kufunga watu jela duh
 
Back
Top Bottom