Tutakumbushana tena 2025 Magufuli kama atakubali kuachia madaraka basi atalazimisha kutuachia Rais anayependa yeye

Siwezi puuza huu uzi watu waoga huwa wanaweka kinga ili wasiumizwe ila kuna mawili
1.KUKOMAA MADARAKANI
2.AU KUKIMBIA NCHI/KUISHI UHAMISHONI ILI WATU WASILIPE KISASI
3.KUMCHAGUA SHOSTI MWENYE MAELEKEZO YA KUMLINDA kama mtoa mada asemavyo humu
Sure
 
Aiseee
 
Viongozi wa awamu hii wanaishi kwa woga sana, kama vile hajashinda uchaguzi. Jana Majaliwa alikua anapita, nusu saa kabla bara bara iliachwa wazi na traffic, magari yote yalipack pembeni. Majaliwa alipita kama mwewe.
[emoji16][emoji16]
 
 
Umeona lile feni analotembea nalo kwenye gari lakini, lile ni lazima liwe nyuma yeye mbele.
Watu waliyaona,

Halaf alivyokuwa mbishi alikuwa anajifanya si mgonjwa eti, hadi siku ya mwisho anakufa bado anaendelea kufunga watu jela duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…