Tutakumbushana tena 2025 Magufuli kama atakubali kuachia madaraka basi atalazimisha kutuachia Rais anayependa yeye

Kwa saivi anasemaje huko mlipo, maana wewe nawe una kiherehere kama msukule wa Magu vile
 
Watu waliyaona,

Halaf alivyokuwa mbishi alikuwa anajifanya si mgonjwa eti, hadi siku ya mwisho anakufa bado anaendelea kufunga watu jela duh
Kile kizee kilikuwa na roho ya kutu sana heri kimetangulia.
 
Viongozi wa awamu hii wanaishi kwa woga sana, kama vile hajashinda uchaguzi. Jana Majaliwa alikua anapita, nusu saa kabla bara bara iliachwa wazi na traffic, magari yote yalipack pembeni. Majaliwa alipita kama mwewe.
 
Yuko wapi ??
 

Usimpangie Mungu Mambo yako.
 
Hakika
 
Siwezi puuza huu uzi watu waoga huwa wanaweka kinga ili wasiumizwe ila kuna mawili
1.KUKOMAA MADARAKANI
2.AU KUKIMBIA NCHI/KUISHI UHAMISHONI ILI WATU WASILIPE KISASI
3.KUMCHAGUA SHOSTI MWENYE MAELEKEZO YA KUMLINDA kama mtoa mada asemavyo humu
Siku hizi uko kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…