Alphonce Mawazo
R I P
- Sep 10, 2013
- 335
- 478
Niko Bukene kwa ziara ya siku tano hivi.
Matatizo ya wana Bukene juu ya bei mbaaya ya zao la tumbaku linafanana sana na wakulima wa Pamba huko usukumani Mwanza,Simiyu, Shinyanga, Geita na kwigineko lilivyo,nimewaambia ni aibu kwa namna tulivyo wengi kuendelea kulialia wakati nguvu na uwezo wa kubadili mambo tunao
Ni utaahila kuiacha ccm madarakani uchaguzi ujao na tukifanya hivyo basi tuwaruhusu kutufanyia watakalo.Inakera kuona mtu mwenye silaha nzito mikononi mwake akimkimbia mwenye kisu cha kukatia nyanya jikoni