Shilingii
Senior Member
- Feb 3, 2023
- 158
- 205
Ni Juzi TAMISEMI imetoa mkeka wa wanafunzi wanaojiunga kidato cha Tano!! Niajabu kama taifa hatushtushwi na idadi ndooogo ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya A level!! Taifa la watu milioni 61 na wengi ni vijana kuona wanafunzi takribani 188,000 tuu ndiyo waliochaguliwa kidato cha Tano na vyuo nijambo lakutisha sana!! Kati ya hao watakaojiunga K5 pekee ni takribani 122,000 hivi na wala wananchi hawastuki,wakobusy kuijadili Dubai na bandari.
Kwenye comparative education nimejionea Kenya wanafunzi 450,000 wamechaguliwa kujiunga vyuo vikuu 2023...mind you sisi form 5 mwaka huu 2023 ni yapata robo ya wanaojiunga vyuo vikuu Kwa wenzetu!!! Serikali haiulizwi ni kwanini watu wanasubiri KUJADILI wasiyoyaelewa!!!
Tuko busy na ujinga badala turekebishe elimu yetu Kwa kina na ushirikishwaji mkubwa. Ujinga huu hautotupeleka mahali labda shimoni na saana tutaibiwa mmmno kwa akili huku tukiteseka kufanya kazi na kulalamika bila maendeleo ya maana.
Nchi hii inawatu wengi kuliko majirani zetu Afrika mashariki, kwanini wao wanasomesha watoto wao weengi tena elimu Bora sisi tunakalia siasa za kijinga na za uchawa??
Kilasiku... tunamshukuru sana mama, mama anaupiga mwingi, alipo mama tupo, mama katupa pesa nyingi, mama kafanya mengi,nani kama sa100, mama sa100 mpaka 2030... Wanapiga uchawa tena mababa majitu mazima huku watoto wetu hawaendi shule na hata wakienda elimu yetu bado nimbovu isiyostahili zama hizi za teknolojia na ubunifu!! Walimu wananjaa mpaka uwezo wa kufikiri umedumaa tunadhani tukiwatishia ndipo watoto watapata elimu Bora!!!
WAZIRI anakaa kifua mbele kutangaza nchi hii inashule zenye A level 540 tuu na eti shule special no yapata 9 tuu kweli? Nchi hii haina watoto wenye uwezo wa juu kiasi hicho? tulipaswa kushindanisha shule 2 spesho kila mkoa Leo Moro, ARUSHA, na tabora tuu ndiyo zinashule spesho?
Naihurumia nchi yangu!!kwa JINSI hii kuendelea itakuwa kwamwendo wa kinyonga na kuibiwa itakuwa kwa kasi ya farasi😧