Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono Hoja, Hata wale wanaojifanya kuikataa CCM lakini wanasapoti Tanganyika kuikalia Zanzibar kimabavu nao ni hao hao.
Namkubali sana Tundu Lisu, sababu always hua anasimama kwenye ukweli, ni tofauti sana na wafuasi wengi wa CHADEMA