D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Mar 17, 2024 #21 Naunga mkono Hoja, Hata wale wanaojifanya kuikataa CCM lakini wanasapoti Tanganyika kuikalia Zanzibar kimabavu nao ni hao hao. Namkubali sana Tundu Lisu, sababu always hua anasimama kwenye ukweli, ni tofauti sana na wafuasi wengi wa CHADEMA
Naunga mkono Hoja, Hata wale wanaojifanya kuikataa CCM lakini wanasapoti Tanganyika kuikalia Zanzibar kimabavu nao ni hao hao. Namkubali sana Tundu Lisu, sababu always hua anasimama kwenye ukweli, ni tofauti sana na wafuasi wengi wa CHADEMA
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 18, 2024 Thread starter #22 dos.2020 said: Naunga mkono Hoja, Hata wale wanaojifanya kuikataa CCM lakini wanasapoti Tanganyika kuikalia Zanzibar kimabavu nao ni hao hao. Namkubali sana Tundu Lisu, sababu always hua anasimama kwenye ukweli, ni tofauti sana na wafuasi wengi wa CHADEMA Click to expand... Mtiti wote unaanzia hapa: Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote Bila mtu kujua anasimamia nini, tofauti yake na ma CCM iko wapi? Mapambani si maneno matupu!
dos.2020 said: Naunga mkono Hoja, Hata wale wanaojifanya kuikataa CCM lakini wanasapoti Tanganyika kuikalia Zanzibar kimabavu nao ni hao hao. Namkubali sana Tundu Lisu, sababu always hua anasimama kwenye ukweli, ni tofauti sana na wafuasi wengi wa CHADEMA Click to expand... Mtiti wote unaanzia hapa: Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote Bila mtu kujua anasimamia nini, tofauti yake na ma CCM iko wapi? Mapambani si maneno matupu!