johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kimsingi Johnthebaptist na mzee Mgaya tumekubaliana kumchukulia fomu ya kugombea ubunge wa Kawe mpambanaji wa ufisadi Dr Slaa.
Kwa sasa Dr Slaa ni balozi wetu pale Sweden lakini tutamrejesha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Dr Pius Ngwandu aliyeachia ubalozi wa Japan na kuja kugombea ubunge huko Shinyanga miaka ile.
Niendelee kuwatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!