Uchaguzi 2020 Tutamchukulia fomu ya kugombea Ubunge wa Kawe Dkt. Slaa

Uchaguzi 2020 Tutamchukulia fomu ya kugombea Ubunge wa Kawe Dkt. Slaa

Naunga mkono hoja na Kampeni Manager wake awe Lowassa!!... Mzee wa mafuriko!!
 
Naona baada ya kumtumia kama toilet paper mmeamua kumdhalilisha sasa kama Wasira. Zamu hii mnataka avuliwe nguo na 'Sauti ya Zege'
Kwa vile huyo sauti ya zege anamvua nguo ester unafikiri anaweza kumvua nguo Dr.?
 
Kawe hakuna anayemtaka mdee. Safari hii anatakiwa mtu mcha Mungu huyu mdee anakashfa ya usagaji kwa wabunge wenzake.
Poleni sana,
Mwaka huu ni mgumu sana kwenu. Baada ya kukaukiwa hoja, wakubwa na wadogo mko busy kuokoteza vineno vya kishetani.
 
Kawe hakuna anayemtaka mdee. Safari hii anatakiwa mtu mcha Mungu huyu mdee anakashfa ya usagaji kwa wabunge wenzake.

Mdee hahitaji kuwa kiongozi wa dini. Hao wabunge anaowasaga wanajipendekeza kwake, kwani asiwape haki yao? Yesu wa ccm anajifanya mcha Mungu, lakini ndio anaongoza kwa kuamini ushirikina, na kutumia kundi la watu wasiojulikana kurest watu in piece.
 
Duh Mkuu mbona unataka kututishia amani ?.
Dr. Slaa ni Mstaafu, akimaliza kuhudumu ubalozini, mwache astaafu kwa amani na akajipumzikie kule Canada, Kawe waachiwe wana Kawe.
P
Bwashee Dr Slaa nyumbani kwake ni Mbweni kule Canada alienda kutafuta maisha tu.

Dr Slaa atakwenda pale Foreign na Prof Kabudi ataenda Home Affairs!

Maendeleo hayana vyama!
 
Kimsingi Johnthebaptist na mzee Mgaya tumekubaliana kumchukulia fomu ya kugombea ubunge wa Kawe mpambanaji wa ufisadi Dr Slaa.

Kwa sasa Dr Slaa ni balozi wetu pale Sweden lakini tutamrejesha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Dr Pius Ngwandu aliyeachia ubalozi wa Japan na kuja kugombea ubunge huko Shinyanga miaka ile.

Niendelee kuwatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Mchukulie na Makonda
 
Duh Mkuu mbona unataka kututishia amani ?.
Dr. Slaa ni Mstaafu, akimaliza kuhudumu ubalozini, mwache astaafu kwa amani na akajipumzikie kule Canada, Kawe waachiwe wana Kawe.
P
Hata wewe ubunge wa kujua kusoma na kuandika unakufaa sana. Fanya michakato ugombee jimbo la Chato.

Unaweza ukapata uwaziri wa habari, michezo, burudani na futuhi
 
Vipimo vote vinaonyesha hali ya Mgonjwa ni mbaya Tuendee kujichanga
 
Kimsingi Johnthebaptist na mzee Mgaya tumekubaliana kumchukulia fomu ya kugombea ubunge wa Kawe mpambanaji wa ufisadi Dr Slaa.

Kwa sasa Dr Slaa ni balozi wetu pale Sweden lakini tutamrejesha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Dr Pius Ngwandu aliyeachia ubalozi wa Japan na kuja kugombea ubunge huko Shinyanga miaka ile.

Niendelee kuwatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Acheni kumshusha huyo mzee, yule anastahili u rais, mpambanisheni na Pombe ndani ya ccm.
 
Back
Top Bottom