Uchaguzi 2020 Tutamchukulia fomu ya kugombea Ubunge wa Kawe Dkt. Slaa

Umenikumbusha mzee wangu mmoja alikuwa Japan Enzi hizo mzee Raphael lukindo alipoachana na kustaafu ubalozi walitaka kumpa ubunge tanga huko
Yeye alichomoa, Aliwambia wamwache apumzike
Siku zote alikuwa ananiambia unajua mm nishakula sana Maisha, nishafanya starehe za kutosha
Mambo ya pilika Sasa basi acha nipumzike, akawa mtu wa dini tu.... Dah huyu mzee alikuwa mbritish, suti zake, saa balaa, Gari yeye ni Benz tena special order.... Tena mjerumani.... Mzee full of exposure
Marekani, ulaya huko watu wamekwenda Miaka ya 60 utawambia nn.... Alikuwa syo mlugaluga
Nashangaa Leo hii mtu akipewa nafasi hataki kupumzika

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Swala hapa nikuwaarifu ndugu jamaa wa krb na mbulu kwa ajili ya mipango Miaka 5 peke yako na bado uko ICU nhuvu kubwa sana inatumika kuelezea mafanikio watu tunaona kama ulifanya kz
 
Umenikumbusha mzee wangu mmoja alikuwa Japan Enzi hizo mzee Raphael lukindo alipoachana na kustaafu ubalozi walitaka kumpa ubunge tanga huko
Yeye alichomoa, Aliwambia wamwache apumzike
Siku zote alikuwa ananiambia unajua mm nishakula sana Maisha, nishafanya starehe za kutosha
Mambo ya pilika Sasa basi acha nipumzike, akawa mtu wa dini tu.... Dah huyu mzee alikuwa mbritish, suti zake, saa balaa, Gari yeye ni Benz tena special order.... Tena mjerumani.... Mzee full of exposure
Marekani, ulaya huko watu wamekwenda Miaka ya 60 utawambia nn.... Alikuwa syo mlugaluga
Nashangaa Leo hii mtu akipewa nafasi hataki kupumzika

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hahahaaaa...... Hata Trump na Biden wana kila kitu lakini bado wanatamani kuwatumikia Wamarekani.

Hiyo ni kawaida sana!
 
Kimsingi Johnthebaptist na mzee Mgaya tumekubaliana kumchukulia fomu ya kugombea ubunge wa Kawe mpambanaji wa ufisadi Dr Slaa.

Kwa sasa Dr Slaa ni balozi wetu pale Sweden lakini tutamrejesha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Dr Pius Ngwandu aliyeachia ubalozi wa Japan na kuja kugombea ubunge huko Shinyanga miaka ile.

Niendelee kuwatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Watu wapya wako wengi mwache uko aliko anapata ugali
 
Miongoni mwa pesa iliyotafunwa na Mbowe ni pamoja na pesa iliyotolewa na Rostam kuisaidia chadema lakini Mbowe kasema ni pesa yake anakikopesha chama. Unalijua hilo?!
Thibitisha we mbwiga!
 
Kimsingi Johnthebaptist na mzee Mgaya tumekubaliana kumchukulia fomu ya kugombea ubunge wa Kawe mpambanaji wa ufisadi Dr Slaa.

Kwa sasa Dr Slaa ni balozi wetu pale Sweden lakini tutamrejesha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Dr Pius Ngwandu aliyeachia ubalozi wa Japan na kuja kugombea ubunge huko Shinyanga miaka ile.

Niendelee kuwatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!

Mzee amesha acha Siasa miaka 75
 
Kwenye majimbo ambayo yataanza kurudi CCM mapema,la kwanza ni kawe.Sauti ya zege hawezi rudi piga ua galagaza hawezi rudi.
 
Back
Top Bottom