Tutampoteza Fei Toto kwa kivuli cha Mkude

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Mara ya mwisho simba kuchukua ubingwa ilikuwa mwaka 2012,baada ya miaka minne kupita simba imefanikiwa kutwaa tena ubingwa au kombe ambalo dar-es-salaam young afrika walilichukua mpaka Tff wakaamua kuwakabidhi waondoke nalo kwa sababu walichukua Mara tatu mfululizo.

Mwaka 2012 Jonas mkude alikuwa ni mmoja wa wachezaji wengi vijana waliopandishwa kutoka kikosi cha vijana,ikiwa ni miongoni mwa misimu ambayo simba ilipandisha vijana wengi zaidi.Isihaka,Gallas,mgeveke,kapombe,Edward,chanongo,ndemla na singano ni miongoni mwa vijana waliofuata nyayo za mkude kwa kupandishwa timu ya wakubwa japo kwa vipindi tofauti.Lakini ni mkude pekee aliyesalia na kuwa na uhakika wa namba kikosi cha kwanza kwa misimu mitano mfululizo,Unafikili mkude anapendelewa na makocha wote wanaopita simba?

Msimu huu yanga ilifanya umafia kwa kutumia mgongo wa rais wa singida united,kuwanyang'anya singida kiungo waliyemsajili kutoka jku ya Zanzibar Feisal salum "fei Toto".Ni miezi michache imepita tangu aingie rasmi kwenye ligi yetu ya TPL na hatimaye ameanza kupata nafasi timu ya taifa na kuonyesha uwezo wake,ameonyesha uwezo mzuri akiwa na yanga lakini juzi pia kwenye timu ya taifa alicheza vizuri kwa dakika chache alizopata.

kama ilivyo kawaida yetu watanzania tumeanza kufanya ulinganisho wa mkude na fei Toto yupi bora? Ushabiki ukipitiliza unaweza kutufanya tusiujue ubora halisi wa mchezaji kwa ajili ya mahaba tuliyonayo au chuki dhidi ya klabu zetu au mchezaji binafsi.binafsi mpaka sasa nimemfahamu fei Toto misimu miwili nyuma kabla hajatua yanga,Kutua kwake yanga kumemfanya fei Toto atambulike kwa ukaribu na jamhuri ya muungano wa Tanzania,lasivyo angeendelea kufahamika zaidi pale visiwani.

Misimu mitano iliyojaa ubora wa hali ya juu ya mkude unaanzeje kumfananisha na fei Toto uliyemfahamu msimu mmoja au miwili iliyopita? matokeo mabaya ya simba yalitufanya wengi tusimfuatilie mkude kwa ukaribu kujua nini kilichomo miguuni mwake na kilichofichwa ndani ya zile nywele chafu.

Au tunatumia kumlinganisha mkude na fei Toto kwa msimu mmoja ambao simba imetwaa ubingwa na dakika chache za fei Toto taifa stars? mkude kwa viungo wa kileo ndani ya nchi yetu tunaweza kutumia nauli nyingi kuzunguka mikoani na tusimwone mbadala wa mkude.wahenga walisema "Upele humpata asiye na kucha"basi ndivyo ilivyo kwa mkude amepewa uwezo amenyimwa nyota na bahati,ndio maana anaitwa kwa nadra timu ya taifa,lakini pia kuonekana nje imekuwa shida.unafikili protejet wangekuja kumwangalia mkude mechi ya azam na simba wangeondoka na himid au mkude?

Bahati mbaya magazeti yetu nayo yameingia sokoni kwa kuyapamba magazeti yao kwa picha na maneno mazuri ya kumsifia fei Toto.Dakika alizocheza fei Toto dhidi ya carpe Verde ilikuwa lazima afanye kile alichokifanya,fei Toto ni mchezaji mzuri sana lakini tusimkosee heshima mkude kwa kumlinganisha na toto.

mkude anaweza kutumia nguvu panapohitajika nguvu na akili panapohitaji akili,fei Toto anatumia sana akili hususani timu inaposhambulia lakini hawezi kutumia nguvu kukaba pale timu inaposhambuliwa.Dakika 90 mkude muongezee mpaka 120 bado atakuwa fiti,Vipi kuhusu fei Toto? bado fei Toto anahitaji kukaa darasa huru na mkude ajifunze.

Mara chache sana kumuona Jonas mkude anatia udambwi mwingi pale katikati tofauti na Toto ambaye udambwi kwake ni kama kachumbari kwenye chipsi lakini hana madhara kwa mpinzani.Hivi unafikili fei Toto akipitia kurasa zetu za magazeti na mitandaoni hawezi kulewa sifa? umri wake unaruhusu,Tuache muda uongee tutaludi baada ya misimu miwili kujadili hili ila kwasasa tuendelee kumheshimu mkude.Kivuli cha mkude ni kikubwa mno kinaweza kumpoteza fei Toto.
 
Tangu Nimemuona Jku..... Fey Toto ni middle Bora kabisa muda utawaambia.....

Udambwi dambwi ni kipaji pekee si kila mtu anakua nacho..... Wakina Niyonzima, Ajibu au toto ni wachache sana maan udambwi mwingi na majukumu yanakamilika....
 
Mkude mbona wakawaida sana! Msimu wa 8 huu hata namba timu ya Taifa ni ya kubahatisha! Ina maana makocha wote hawampendi? Kila akienda kwenye majaribio anafeli, ina maana anaonewa? Fei Toto ni habari nyingine ile, asipolewa sifa atafika mbali!
 
Acha wivu brazaaaa
 
Mkude anazidiwa maarfa na uwezo wa kisoka katika maeneo mengi, kama unafikiri Fei toto anabaatisha nakushauri/nawashauri muingie U tube angalieni ao wachezaji wawili katika mashindano ya Chalenji yaliyo fanyika Kenya wote kwabahati walichezea mataifa yao alafu mtarudi na mrejesho hapa.
 
Mkude mbona wakawaida sana! Msimu wa 8 huu hata namba timu ya Taifa ni ya kubahatisha! Ina maana makocha wote hawampendi? Kila akienda kwenye majaribio anafeli, ina maana anaonewa? Fei Toto ni habari nyingine ile, asipolewa sifa atafika mbali!
Ameenda mara ngapi kwenye majalibio, na ni wapi na wapi?
 
Fei is more of an attacking midfielder. Mkude is purely a defensive midfielder. It won't make sense comparing the two.
 
Ningekuwa kocha Yule fei toto ningembadili kutoka namba 6 au 8 kwenda namba 10 then kupata vitu Kama faulo na penat itakuwa ni kawaida Sana then mazoezin ni mwendo wa kujifunza kupiga faulo na penat
 
Huu ubishi unazidi kuwa mkali.. Imenikumbusha kipindi kile Simba ina Rajabu Msoma, Yanga wana Salvator Edward Dr.. Simba ina Shekhan Rashid Yanga mahadhi.. Simba ina Matola, Yanga ina Aly Mayayi na Shaban Ramadhani
 
Me yanga lakini huwezi mfananisha huyu toto na mkude.Mkude mtu hatari sn kwenye dimba la katikati,namwogopa mno.Anaujua
Mkude ni kiungo mkabaji zaidi. Fei ni kiungo mwenye mwelekeo wa kushambulia zaidi. Ndiyo maana siku ya Yanga na Simba, Fei hakung'ara kwa sababu game plan haikumruhusu.
Haileti maana kuwalinganisha haws wawili.
 
Nilichogundua Simba hawana mchezaji star wa kibongo..wanampamba Mkude..Fei dogo tu hamuwezi Mkude..mmefurahi
 
Mkude mbona wakawaida sana! Msimu wa 8 huu hata namba timu ya Taifa ni ya kubahatisha! Ina maana makocha wote hawampendi? Kila akienda kwenye majaribio anafeli, ina maana anaonewa? Fei Toto ni habari nyingine ile, asipolewa sifa atafika mbali!
Mkude ni kiungo anaeongoza kwa kupiga pass nyingi nyuma ya goal lake kuliko pass za kuwalisha forward zake
 
Back
Top Bottom