Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Nilikuwa nakaa sana mlimani city, huyo demu kipindi anasoma Niki wa 2, alikuwa namleta movie.. kila wiki na kuja nae mala kibao.. kuna miamba wakasema huyu dogo ngoja tuanze kumpigia mbona analeta mambo ya kishamba... na wale watu sio wepesi.. 😀😀😀😀.. naamini alianza kupigiwa kipindi kile na sasa hivi anapigiwa na ataendelea kupigiwa.. uzuri haina alama.. na mie nipo kwenye foleni 🐒🐵🦧
Mzee wa mikakati ulikua unauza popcorn 🍿 Cinemax nini??

Oya mpango wa Alu umeishia wapi?
 
Wistaz chalet lodge -Sinza[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
2017-01-05.jpg
 
He is in love. Just let him.enjoys his life. He is doing the right thing. U dont expect a guy who is in luv to do less than what Nikki2 is doing to his gyal

Ushamba tu na ulimbukeni
 
Samehe maisha yaendelee, hata ukimuacha ukimpata mwingine atafakamiwa tuuuuuu.....
Labda uamue kujitenga na papuchi miaka mia kendaaaa
Hahaha unaonekana una busara sana.

Bahati mbaya level yako ya busara ili mwanaume aifikie anahitaji vitu vingi na wengi hatuna.
 
Hahaha unaonekana una busara sana.

Bahati mbaya level yako ya busara ili mwanaume aifikie anahitaji vitu vingi na wengi hatuna.
Kuna vitu inabidi tu viwe hivo, mimi kama mimi siwezi kumuacha my wangu eti kisa kanichiti yani achiti hadi kidudu kipungue simuachi....labda niwe na sababu nyingine.
 
Kuna vitu inabidi tu viwe hivo, mimi kama mimi siwezi kumuacha my wangu eti kisa kanichiti yani achiti hadi kidudu kipungue simuachi....labda niwe na sababu nyingine.
Abarikiwe jamaa kwa kuipata hii 'Free Pass' hope na yeye amekupatia 'Free Pass'
 
Kuna vitu inabidi tu viwe hivo, mimi kama mimi siwezi kumuacha my wangu eti kisa kanichiti yani achiti hadi kidudu kipungue simuachi....labda niwe na sababu nyingine.

Shost c utaletewa magonjwa ya zinaa, ni vyema kukemea Tabia za ku cheat though wanaume ndo walivyo hata ufanye nini wata cheat but ku accept cheating that means umekubal kuwa inferior na to be disrespected
 
Nikki alikuwa mshamba sana kwenye hii sekta, Sasa naona kapata somo. Dem mkali yake pesa kama huna unatafuta presha na magonjwa mengine ya uzeeni!
Hata kama huna pesa usiwe na wenge la kupost post mkeo. UNAPOST POST NA CAPTION CAPTION ZA MKEO ZA NN? ILI NN?

Wakati mwingine watu wanamweshimu mkeo sababu wanakuheshimu na si vinginevyo. Ss kama huheshimiki na una sifa za kijinga ndo anakuwa tamu ya wazalendo.
 
Hio inaitwa insurance policy, mtu huna majala na unajua kabisa mtoto anakutana na vibopa vinamtolea macho huko nje, utafanyaje? . Ndo inabidi kila wasaa ujiwekee insurance walau awe anakumbuka kutunza heshma vinginevyo utafanyiwa kama janjaro.
Kuna watu wana vipaji vya kusifia alafu wana pesa chafu, ogopa sana ndugu yangu
 
Back
Top Bottom