Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Shost c utaletewa magonjwa ya zinaa, ni vyema kukemea Tabia za ku cheat though wanaume ndo walivyo hata ufanye nini wata cheat but ku accept cheating that means umekubal kuwa inferior na to be disrespected

Njooni muone kumekucha Binamu leo kaandika kiingereza mchana kweupe tena akiwa hajalewa haya ni mafanikio na Rais Mama yetu Samia ameanza vizuri hadi Binamu anakumbuka maneno ya kinge aliyosahau miaka miatisa kenda
 
Kama sio kabundi basi kagongewa na mwingine.. yule demu mzuri alafu jamaa anaturingishia.. acha wampakulie sasa... Ogopa sana mrembo kuajiriwa serikalini.. unakuwa na 50/50
Duuh! Kama yupo serikalini hapo ni kweli itakuwa alipangwa kwenye msafara kama mnavyojua wanawake wanawatii sana mabosi wao hata kama waume zao wawazuie hizo safari hawawezi kukubali.
 
hivi palamaganda aliongea wapi hayo mambo ya Kenda [emoji23][emoji23][emoji23] mbona kama inatrendi kwenye comments
Kwenye hafla ya kitaifa ya kumuaga mwendazake Magufuli Dodoma. Kama haukufuatilia ingia youtube uone,yeye ndo alikuwa mc
 
Duuh! Kama yupo serikalini hapo ni kweli itakuwa alipangwa kwenye msafara kama mnavyojua wanawake wanawatii sana mabosi wao hata kama waume zao wawazuie hizo safari hawawezi kukubali.
Ofisini wanakulana sana ki masihara . Maana mda mwingi mke yupo ja stuff kuliko mume, kwanini moto usi mshukie ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…