Tutampoteza Nikki wa Pili akiachwa na huyu mwanamke

Mbna wengi tunajua kua huyu Countrywide ni DC Nick, afu tangu zaman.

Yeye mda wote kuinanga chadema na kumnanga Lissu, anasahau kushughurika na Joan wakee, wajanja wakamnyakua nyakuuuuu,. Sahivi atapata akili na atatuliza kichwa chake kile km chenza changa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Countrywide njoo huku wee DC ofisini had sahivi? Hupati lunch?
 
Nikki ni humble guy, hawezi kuwa huyo jamaa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sio mrama
Shida ni pale muhusika anapoweka mambo yake public ndo anawafanya watu wamfatilie na kumtolea unabii kedekede,
Nakuona kwamba wao mapenzi wanayajua kuliko ss wasomaji wa post zao..wakitendwa wanakuwa motivational speaker 2a ndoa na mahusiano...bora madam speaker aliyeamua kuiweka mbali familia yake mitandao sio wanae wala mumewe aliona mbali mnyaki yule..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…