Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Tatzo unawasapoti kwa nia njia baadae wanakugeuka wanaanza kukutukana🤣🤣🤣🤣naweka silaha chini, kila la heri mnyama mkubwa kesho dhidi ya Orlando Pirates.
Mkipata goli 3 itakuwa advantage kubwa sana kuelekea mchezo wa marudiano na hatua muhimu kuelekea robo fainali.
Wito kwa sisi mashabiki wa Yanga, tujitunze kuwasapoti watani zetu katika hatua hii muhimu, baada ya dakika 90 za mtanange tuendelee kuwatania tu kama watakuwa wamezingua!
Kila la heri Simba Sports Club, wawakilishi wetu wa Kimataifa.
Yanga hawapendi unavyoongeanaweka silaha chini, kila la heri mnyama mkubwa kesho dhidi ya Orlando Pirates.
Mkipata goli 3 itakuwa advantage kubwa sana kuelekea mchezo wa marudiano na hatua muhimu kuelekea robo fainali.
Wito kwa sisi mashabiki wa Yanga, tujitunze kuwasapoti watani zetu katika hatua hii muhimu, baada ya dakika 90 za mtanange tuendelee kuwatania tu kama watakuwa wamezingua!
Kila la heri Simba Sports Club, wawakilishi wetu wa Kimataifa.
🤣🤣🤣😇😇Hata kuishabikia Orlando Pirates ni uzalendo pia kwa wengine, inategemea ntu na ntu
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Tatzo ni matusi yenu.Nakumbuka kuna moja juzi juzi ya kuongia robo fainal niliwaambea kabsa msonge mbele ila kilichonikuta duhYanga hawapendi unavyoongea
Mngekuwa wote kama wewe, maana ya uzalendo ingejidhihirisha
Mkuu , hili tatizo siyo kwa simba tu , hata Yanga ni wale wale. Sijui watanzania tulirogwa na nani!Tatzo ni matusi yenu.Nakumbuka kuna moja juzi juzi ya kuongia robo fainal niliwaambea kabsa msonge mbele ila kilichonikuta duh
Kama unaamini Simba SC wana mafaniko kwenye nyanja hizo inatosha sana..!Huu utakuwa unafiki Mimi kuishabikia hata kuiombea Dua Simba ili ishinde!!
Ntaumia wakishinda na ntafurahi wakifungwa. Sijawahi kuiombea mema Simba pamoja na mafanikio yake[emoji3][emoji124]
Ndio mkuu mafanikio yapo coz mpira sio ngono upo wazi unaonekana!!, Ila Tz hii yanga kuiombea Simba ushinde mhhhh.....labda ila hapana😀🚶Kama unaamini Simba SC wana mafaniko kwenye nyanja hizo inatosha sana..!
Sasa kama slogan ya Simba ya sasa si kuinanga Yanga?ety HAWAAMINI MACHO YAO then unategemea huyo mtu akusapotMkuu , hili tatizo siyo kwa simba tu , hata Yanga ni wale wale. Sijui watanzania tulirogwa na nani!
Hawaamini macho yao ni wapinzani tunaocheza nao mfano kwa kesho ni Orlando Pirates na sio Yanga kama wengi wanavyotafsiri hiyo slogan yetu ya kibabeSasa kama slogan ya Simba ya sasa si kuinanga Yanga?ety HAWAAMINI MACHO YAO then unategemea huyo mtu akusapot
SawaHawaamini macho yao ni wapinzani tunaocheza nao mfano kwa kesho ni Orlando Pirates na sio Yanga kama wengi wanavyotafsiri hiyo slogan yetu ya kibabe
Jinsia yako tafadhal umentisha kdg hz kauliTimu zote za bongo Simba tunahitaji uzalendo kutoka kwao kasoro Yanga tu.
Yanga wananuksi,yani ni nuksi tupu hawa jamaa,wakitusaport tutaanza kupoteza mechi za kimataifa kwa Mkapa kama wanavyopoteza wao na minuksi yao.
alafu huwa wananuka vikwapa',,mmpuuu"
Kwenye hiyo slogan kuna sehemu Yanga imetajwa?Sasa kama slogan ya Simba ya sasa si kuinanga Yanga?ety HAWAAMINI MACHO YAO then unategemea huyo mtu akusapot
Nan haamini macho yake?Kwenye hiyo slogan kuna sehemu Yanga imetajwa?
Hayo mambo alikuwa nayo manara ila Ahmed Ali hana ushamba huo.Tatizo Simba wakishinda, wanaitukana na kuibeza Yanga. Ushabiki huu.