bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,443
- 9,854
naweka silaha chini, kila la heri mnyama mkubwa kesho dhidi ya Orlando Pirates.
Mkipata goli 3 itakuwa advantage kubwa sana kuelekea mchezo wa marudiano na hatua muhimu kuelekea robo fainali.
Wito kwa sisi mashabiki wa Yanga, tujitunze kuwasapoti watani zetu katika hatua hii muhimu, baada ya dakika 90 za mtanange tuendelee kuwatania tu kama watakuwa wamezingua!
Kila la heri Simba Sports Club, wawakilishi wetu wa Kimataifa.
Uzalendo gani wa kutuletea makada wa ccm uwanjani, leo lazima mpigwe na orlando pirates pumbafu kabisa