naweka silaha chini, kila la heri mnyama mkubwa kesho dhidi ya Orlando Pirates.
Mkipata goli 3 itakuwa advantage kubwa sana kuelekea mchezo wa marudiano na hatua muhimu kuelekea robo fainali.
Wito kwa sisi mashabiki wa Yanga, tujitunze kuwasapoti watani zetu katika hatua hii muhimu, baada ya dakika 90 za mtanange tuendelee kuwatania tu kama watakuwa wamezingua!
Kila la heri Simba Sports Club, wawakilishi wetu wa Kimataifa.
DSTV wataonesha chaneli namba ngapi?
Na ndo uzalendo unapotushindaga hapoo..Wapigwe tuTatizo Simba wakishinda, wanaitukana na kuibeza Yanga. Ushabiki huu.
Yaani wapigwe hadi wafeMashabiki wa simba hawana adabu leo wapigwe tu
Ona Sasa umeaibika.View attachment 2190715
Uzalendo gani wa kutuletea makada wa ccm uwanjani, leo lazima mpigwe na orlando pirates pumbafu kabisa