GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huu ni Ushauri tu ambao GENTAMIYCINE a.k.a Muona Mbali nimeona niutoe hasa baada ya Kunusa HATARI fulani mahala fulani (East Africa) ambako sasa tunafurahi ila huenda Asubuhi wengine Wakalia.
Ngoja niendelee Kufurahia zangu Usajili mzuri na wa Kiufundi unaoendelea kufanywa na Klabu yangu pendwa ya Simba.
Wenye Akili Kubwa na mtakaonielewa Mbarikiwe sana ila wale Visokolokwinyo ( Mazuzu ) ambao hamtanielewa poleni mno kwani GENTAMIYCINE sijawahi kueleweka na Wasio na Akili hata Siku Moja.
Kuna AMBULANCES nazisikia barabarani hebu ngoja nifungue Dirisha nizitizame au nimpigie Dokta Anold wa Wajeda Hospital Makongo au Dokta Dada Lucy wa Massana au Dokta Mama Catherine wa Mwananyamala Hospital nimuulize kama tayari kwa Usiku huu wameshaanza Kupokea Wateja ( Wagonjwa ) kwani hizi AMBULANCES zinavyopishana ni kama vile kuna Mashindano kumbe zinawawahisha Watu wasituache mapema na Tanzania yetu ya DP World na Bandari.
ANGALIZO
Uzi wangu huu hauhusiani na Jambo au Tukio lolote linaloendelea sasa Afrika Mashariki na Kati Somalia, Djibouti, Eritrea na Sudan zote bila kusahau na Congo DR nazo zikiwemo
OMBI
Naomba anaejua maana halisi ya hili Neno Stampede anielimishe vyema tafadhali kwani Mimi nalitumia tu ila bado sijalijua Kiundani zaidi na naamini Great Thinkers wa JamiiForums leo ( Usiku huu ) mtanielimisha nalo zaidi.
Akhsanteni.