The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Yote ni shuhuda kuelekea uchaguzi mkuu, wanasiasa wanaitafuta huruma ya wananchi. hatukuwahi kusikia shuhuda kama hizi huko nyuma
msikilize mwananchi huyu, Mbanguji Paul wa Buchosa jinsi akieleza alivyosaidiwa matibabu ya jicho lililomtesa kwa takribani miaka 8 na Mbunge Eric Shigongo wa Buchosa.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
msikilize mwananchi huyu, Mbanguji Paul wa Buchosa jinsi akieleza alivyosaidiwa matibabu ya jicho lililomtesa kwa takribani miaka 8 na Mbunge Eric Shigongo wa Buchosa.Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025